Ili kupata leseni lazima uwe na EFD mashine?

Ili kupata leseni lazima uwe na EFD mashine?

Reghia

Senior Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
126
Reaction score
113
Guyz nmesikia et kuanzia jana tar 01 huwezi pata lesen ya biashara mpaka uwe na efd machine ambayo utaiperela tra tjen wakupe tin na vrn kisha uende ukachukulie lesen ya biashara halimashauri. Je ni kweli? Na kama ni kweli vip siye tunao wish kufungua biashara currently? ?
 
Kutoka kwa mmoja wa wahusika wa utoaji wa leseni za biashara lkn sikua na uhakikaa thus y nmeiletaaa
anhaa..hii mimi ndio nimesikia na mimi kwako leo mkuu, anyways ngoja wanaofaham watujuze
 
Sasa utanunuaje machine ya EFD kabla hujapata TIN no,maana hizi mashine huwa zinafuatiliwa kupitia record zinazoanzia TRA.kitu ambacho huwezi kukipata ni leseni kama hauna TIN kukuthibisha kwamba ni mfanyabiashara aliesajiliwa na serikali.
 
Back
Top Bottom