Guyz nmesikia et kuanzia jana tar 01 huwezi pata lesen ya biashara mpaka uwe na efd machine ambayo utaiperela tra tjen wakupe tin na vrn kisha uende ukachukulie lesen ya biashara halimashauri. Je ni kweli? Na kama ni kweli vip siye tunao wish kufungua biashara currently? ?
Sasa utanunuaje machine ya EFD kabla hujapata TIN no,maana hizi mashine huwa zinafuatiliwa kupitia record zinazoanzia TRA.kitu ambacho huwezi kukipata ni leseni kama hauna TIN kukuthibisha kwamba ni mfanyabiashara aliesajiliwa na serikali.