Mimi bado nakazia kwa serikali kuwa facilitator na kutengeneza platforms kwa ajili ya sekta mbalimbali na mifumo mbalimbali kuimarishwa hususani ya kutolea taarifa kuhusu fursa mbalimbali.
Mimi bado nakazia kwa serikali kuwa facilitator na kutengeneza platforms kwa ajili ya sekta mbalimbali na mifumo mbalimbali kuimarishwa hususani ya kutolea taarifa kuhusu fursa mbalimbali.
Ndio mkuu, kwa sababu hata nchi za nje wanaweka mifumo mbalimbali kusadia wasio na ajira kuweza kupata ajira na vibarua ili waweze kujikimu na maisha.
Japo serikali inajitahidi na mpango wa kusaidia kaya maskini kupitia tasaf ila mkazo pia uwekwe kwenye wahitimu na waliokosa ajira kupitia mifumo hiyo.