neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Kumetokea sasaiv wimbi la vijana wasiotaka kuoa lakini wana vipato vizuri, wengi wao wanasingizia kuwa bado hawajajipanga, lakini hao hao ndio wanaongoza kufanya uasherati wamekuwa wanawapa wasichana mimba na kuzikataa hizo mimba, lakini pia hata wasipozitoa unakuta wanawakataa hao wanawake! Madhara yake ndio haya
1: Ongezeko la single mother
2: Watoto wa mitaani
3: Mauaji kuzidi ( abortion)
4: Ukahaba kuzidi kwa kasi
Kufuatia hali hii napendekeza serikali ichukue hatua pamoja na taasisi binafsi kwa hawa vijana wa kiume na napendekeza hatua hizi zichukuliwe
1: Kijana yeyote aliyefikisha miaka 30 and above sharti awe ameoa ndipo apate huduma za kijamii
2: Kijana wa kiume miaka 30 and above na umeajiriwa serikalini kama hujaoa unafukuzwa kazi na kama ni taasis binafsi hivyo hivyo
3: Kupata ajira serikalini kuoa iwe added advantage kupata ajira, lakini above 30 kama hujaoa asipewe kazi serikalini
Kwa wadada
Umeajiriwa serikalini na una miaka 40+ hujaolewa unafukuzwa kazi maana wewe unaharibu vijana wetu pamoja na kuvunja ndoa za watu
Note: ni kweli ndoa ni hiari ya mtu lakini tukumbuke pia ni agizo kutoka kwa Mungu, hakuna mtu muda wote miaka 30+ unajipanga tu hapana!
Nawasilisha

Upvote
3