GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nikiambiwa kwa sasa nitoe Alama za Kikosi cha Simba SC cha sasa baada ya Kukiona natoa ni 10% tu, ila 90% Kibovu.
Soma Pia:
Soma Pia:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Nikiambiwa kwa sasa nitoe Alama za Kikosi cha Simba SC cha sasa baada ya Kukiona natoa ni 10% tu, ila 90% Kibovu.
Na Mashabiki wenye 'Kuku Brain' tuko wengi huko.🤣🤣
Tatizo simba propaganda nyingi kuliko utendaji!
GENTAMYCINE nikisema Simba SC yangu ni MBOVU amini 100% na kama huamini nakuomba tunza huu Uzi wangu Ok?Ubovu wa kikosi cha Simba upo wapi mkuuj?
Kuwa na subira bwana.Nikiambiwa kwa sasa nitoe Alama za Kikosi cha Simba SC cha sasa baada ya Kukiona natoa ni 10% tu, ila 90% Kibovu.
Tena. Kudanganywa kupitia YouTubeNikiambiwa kwa sasa nitoe Alama za Kikosi cha Simba SC cha sasa baada ya Kukiona natoa ni 10% tu, ila 90% Kibovu.
Wewe si uliamini uchawi wa Pemba unacheza?Nikiambiwa kwa sasa nitoe Alama za Kikosi cha Simba SC cha sasa baada ya Kukiona natoa ni 10% tu, ila 90% Kibovu.
Ubaya uboya. Waliokuwa pre season wanaachwa. Waliokuwa makwao wanasajiliwa sasa hii timu au kikundi cha wapiga zumariGENTAMYCINE nikisema Simba SC yangu ni MBOVU amini 100% na kama huamini nakuomba tunza huu Uzi wangu Ok?
Shida ni kwamba, ukiona Simba inacheza unaona timu haina tatizo iko vizuri tu, ni matatizo madogo madogo.Nikiambiwa kwa sasa nitoe Alama za Kikosi cha Simba SC cha sasa baada ya Kukiona natoa ni 10% tu, ila 90% Kibovu.
Mkuu wewe ni genius si kuku-brainNa Mashabiki wenye 'Kuku Brain' tuko wengi huko.
Kuku-brain😂Shida ni kwamba, ukiona Simba inacheza unaona timu haina tatizo iko vizuri tu, ni matatizo madogo madogo.
Daah,
Ukija kuiona Yanga unaona kabisa Simba wanacheza🤣🤣🤣
Try Again kasema Bil 7 zimetumika, ina maana ww unabishana na kikosi cha bil 7 cha Try Again.Nikiambiwa kwa sasa nitoe Alama za Kikosi cha Simba SC cha sasa baada ya Kukiona natoa ni 10% tu, ila 90% Kibovu.
Mimi na Poti wangu CM hatuhusiki nao kwani ni Wabishi.Ila huu usajiri na wewe unahusika pamoja na huyo poti mwenzako!