Ili kuwa verified katika Mtandao wa Maga Hub wa Donald Trump utalipia (MAGA Hub Premium)

Ili kuwa verified katika Mtandao wa Maga Hub wa Donald Trump utalipia (MAGA Hub Premium)

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Mtandao wa Maga Hub-Truth social Trump ambao unamilikiwa na aliyekuwa Rais wa Marekani Bwana Donald Trump umeweka njia ya malipo kwa watumiaji wake wanao taka kuwa verified na blue tick.

Katika Mtandao huo kwa watumiaji waliopo Tanzania wao watalipia shilingi 68,000 na njia ya malipo kwa sasa ni kupitia Mtandao wa Vodacom na Njia ya Bank ya Mastercard.

Njia hii ya malipo inajulika kama MAGA Hub Premium na Faida nyingine ya Mega Hub Premium ni kutopata Matangazo wakati ukitumia Mtandao huo.
 
Kwani kulipia instagram Ni sh ngap?
 
MAGA, Make America Great Again.

Kwa huku wangeiita MATAGA.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe ndio kirefu cha MATAGA
halafu MATAGA wengi tangu JEMEDARI magu AFARIKI wameikimbia JF
kuna TAGA mmoja alikuwa anaitwa kawe alumin dah huyu jamaa alikuwa noma sana umwambii kitu kwa MAGU


Sent from my SM-G935S using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom