Ili kuweka tangazo katika gazeti la serikali natakiwa kufuata hatua gani?

Mr Water Tz

New Member
Joined
Apr 2, 2022
Posts
4
Reaction score
1
Naomba kuuliza, ni hatua gani napaswa kuzifuata ninapohitaji kutoa tangazo katika gazeti la serikali ?
 
Naomba kuuliza, ni hatua gani napaswa kuzifuata ninapohitaji kutoa tangazo katika gazeti la serikali ?
kama upo dsm Nenda pale darajani karibu na wizara ya maliasili gharama yao 20000 utajaza fomu ndio wanatangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…