Ili kuwekeana heshima kwenye mchezo ujao wa Simba na Yanga, Simba ishinde goli 5 kwa 0

Kabla ya yanga mpigeni leo Al Ahly hizo 5 ili uheshimike zΓ₯idi
Hawa Mikia wana matatizo. Eti wanaacha kufikiria game ya leo namna watavyonyongwa pale taifa dhidi ya red devils wa Afrika wao wapo kuifikiria game na Yanga. Badala ya kutafuta heshima ktk bara la Afrika wew unasubiri heshima ndani ya Tanzania.
 
Ya leo waliashafeli wamefungwa kabla ya mechi kuanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…