MAULA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,056
- 170
Wanajamvi hasa walim serikal haiwezi hata siku moja kuboresha maslai ya walim zaid inazid kuwarundikia mizigo
Mf mwaka huu kuna BIG RESULT NOW
NA BUSSINES AN USSUAL
huu ni mzigo kwani sio dawa kwa vilaza tuloletewa kwa wastan wa 70 kutoka la saba na wastan wa 07 kutoka form Two
Na kauri yao KAMA HUWEZI UWAPISHE sijui uende wapi
Ikiwemo pia mwalim umekua unahuruma ukifundisha biology na chemistry form 1 to 4
Kiukweri nzia za kuepukana na shida za ualim ni.........
i)kuuhama ualim
ii)kuteuriwa kuwa kiongozi wa ngaz za juu mf Afisa elim wilaya
iii)na kuacha kazi
Lakin vnginevyo hatuwezi epuka shida za ualim na hazitaishaaa