Ili ligi yetu iwe maarufu na mpira wetu Ukue, TFF zuieni uchambuzi na wachambuzi

Ili ligi yetu iwe maarufu na mpira wetu Ukue, TFF zuieni uchambuzi na wachambuzi

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2020
Posts
2,946
Reaction score
2,932
Tff hawa wachambuzi wanetokea wapi ni faida yao kwa mpira wetu?

Binafsi naona wanaongeza mitafaruku kwenye ligi na mpira wetu. Wanawafanya waamuzi wa mchezo huu kutekeleza majukumu yao kwa woga wakiogopa hukumu za wachambuzi.

Je hao waamuzi wakifanya mgomo hao wachambuzi watachesha mechi?

Kwani kinacho hao wachambuzi wamezukaje?

Wanalipa kodi kwenye kazi hiyo?

Hao wapigwe stop.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Tff,hawa wachambuzi wanetokea wapi,ni faida yao kwa mpira wetu?

Binafsi naona wanaongeza mitafaruku kwenye ligi na mpira wetu. Wanawafanya waamuzi wa mchezo huu kutekeleza majukumu yao kwa woga wakiogopa hukumu za wachambuz...

Wawazuie kwa sheria ipi? Marefarii wanazingua wenyewe tu, wakiamua kuweka mapenzi na ushabiki pembeni then wakaongozwa na sheria za mpira, kila kitu kitakuwa sawa tu.

Wachambuzi wapo kila sehem, na jambo la kawaida watu kukosolewa.
 
Hoja yako si sahihi.

Lakini huwa najiuliza,hawa wachambuzi wamesomea urefarii?
 
Uchambuzi mpira ni mojawapo ya kazi zisizo na tija kabisa, wachambuzi mpira ni sawa na wafanyakazi hewa tu.
 
Back
Top Bottom