nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Tff,hawa wachambuzi wanetokea wapi,ni faida yao kwa mpira wetu?
Binafsi naona wanaongeza mitafaruku kwenye ligi na mpira wetu. Wanawafanya waamuzi wa mchezo huu kutekeleza majukumu yao kwa woga wakiogopa hukumu za wachambuz...
Kikubwa wewe elewa tuna marefa dhaifu na Wachambuzi wa ovyo, hakuna mwenye nafuu kati yao.Tff,hawa wachambuzi wanetokea wapi,ni faida yao kwa mpira wetu?
Binafsi naona wanaongeza mitafaruku kwenye ligi na mpira wetu...
[emoji23][emoji23]ume angalia ya kwako kwanza?Embu edit kwanza kuna maneno ayaeleweki kwababu ya typing error.