Ili mapenzi yenu yadumu inatakiwe iwe hivi....

Ili mapenzi yenu yadumu inatakiwe iwe hivi....

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Piga ua lazima mmoja amroge mwenzie alasivyo fujo,vurugu na vitimbi havitaisha. Iwe jua iwe mvua lazima mmoja wenu awe msukule wa mwenzake!.

We sema hela Sasa utateseka na hela zako,cheo chako,ubaunsa wako,unyama wako utagalagazwa hovyo ulie kama kitoto kilichonyimwa peremende!.

NB:
Uzi huu utaeleweka na wenye vichwa vyenye weledi manyumbu sina la kusema juu yenu.
 
Hivi mkuu jeraha la kupigwa kitu kizito na manzi yako siku ya Christmas limepona kweli? Jipe muda wa kupumzika, maana yanakupeleka resi kinyama. 😂😂😂
Wageni waalikwa tujihusishe zaidi na kichwa cha uzi hayo mengine yapo yanashughulikiwa..😅
 
Back
Top Bottom