Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kumekuwa na changamoto ya namna ya kutafsiri majengo tunayojenga,wapo wanayoyaita mabanda na wengine wanaita nyumba au mijengo. Sasa ni sifa zipi zinazotumika,kutofautisha ili ni banda au hii ni nyumba?