Ili mtu atawale anahitaji Pesa, Jeshi na Serikali

Ili mtu atawale anahitaji Pesa, Jeshi na Serikali

P J O

Senior Member
Joined
May 3, 2024
Posts
189
Reaction score
264
Ili utawale unahitaji vitu vitatu simple;

PESA - Uwe na utajiri wa Dhahabu, au pesa ambayo utaweza nunua asset mbali mbali katika nchi hasa ardhi.

JESHI - Jeshi litakuwezesha kulinda mipaka ya utawala wako au milki yako, utaweka watu katika order unayotaka wewe. Yoyote atakae pinga, jeshi litashughilika nae ndani na nje ya mipaka litazuia uvamizi.

Pia soma: THBUB: Tanzania nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria

Serikali yako - Watu watakaokuwa wawakilishi wako katika nchi nzima, wanaokuamini na kuaminisha watu juu ya uzuri wa kiongozi. Hii inaambatana na kuweka sheria ambayo itawaweka watu kwenye line kutii utawala wako.

Kwa nchi yetu, kwa hatua ya sasa tupo kwenye hii hali, haujihisi ni mmiliki wa nchi bali tunamilikiwa na vibaraka wa chama tawala. Ni stage iliyo ngumu sana maana muda wowote waweza poteza kila kitu.

Tumetoka kwenye uhuru tumeenda kwenye utumwa wa sisi wenyewe!
 
Gold is wealthy, Any country which sell Gold in exchange for paper money is buying poverty.
 
Back
Top Bottom