vamda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 895
- 571
Salamu wana JF. Naomba kufahamishwa ni taratibu zipi za kisheria anazotakiwa kufuata mwalimu ili kuhamia mkoa mwingine. Maana inavyoonekana sasa hivi mpaka bosi wako kwenye halmashauri apende. Naomba nifahamishwe je,kuhama ni haki ya kisheria au mpaka bosi apende?