Ili nchi yoyote iendelee kiuchumi inapaswa kufanya yafuatayo

Ili nchi yoyote iendelee kiuchumi inapaswa kufanya yafuatayo

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
1. Lazima kuwe na uwekezaji strong wa kutoka nje (FDI) na ndani of which mama kafanikiwa sana katika hili tofauti na mtangulizi wake

2. Demokrasia strong ambayo inawawezeah wawekezaji au wafanyafbiashara wakubwa kuwa huru na risks zote ambapo wakihisi mambo kutoenda sawa wana mahala pa kuzungumza na kusikika siyo kuwa abducted kama alivyofanyowa Mo kipindi cha jpm.

3. Checks and balances kwa mihimili yote ili bunge likikuonea unaenda mahakamani. Au dola ikikuonea unaenda mahakani. Hii mama anafanya viziri tofauti na jpm ambapo yeye ndo alikuwa kila kitu. Ndo mana uchumi ulikuwa artificial

4. Ajira za kila siku kwa sabau thru ajira ndo disposable income inakua na consumption rate inakuwa juu kiasi cha kufanya veliocity of currency kuwa kubwa. Mama anajitahidi kuajiri daily wakato jpm ajita kwake ilikuwa nuksi

5. Freedom of choice and decison making. Nchi yoyote ambayo inataka kuendelea lazima watu wake wawe na uwezo wa kuamua. Mfano bunge liwe autonomous kuamua nini ni nini pia watu waamue namna ya kuishi na siyonserikali. Jpm alifeli katika hili mpaka tukafikia hatua ya kuamuliwa tunywe bia saa ngapo bila kujua kila mtu ana ratiba yake.

NB. Maendeleo ni C +G +I +( X-M)


Jpm was totally a disaster.
 
Back
Top Bottom