Ili nife na miaka 99 kama Rais Mwinyi natakiwa tena kuishi kwa miaka mingine 65?

Ili nife na miaka 99 kama Rais Mwinyi natakiwa tena kuishi kwa miaka mingine 65?

M.Rutabo

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
1,031
Reaction score
2,647
Wakuu amani ya bwana iwe pamoja nanyi. Wakati tukijiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mtaa kuna wazo limenijia hv ili nife kwa umri aliokufa nao rais Mwinyi natakiwa kuishi tena hapa duniani kwa miaka mingine 65?

Yani nianze kuhesabu 1,2,3,4,5.......65 hyo nimiaka sio miezi kweli kwenye hii dunia ya hivi? Hapana kwakweli. Yani nishudie tena marais sita watakao fata? Hapana kwakweli nimekataa.
 
Inawezekana hata zaidi ya hapo.huko Kilimanjaro wazee wanafikisha Hadi miaka zaidi ya 115
 
Uzee unakuja vibaya , kuna watu miaka 70 wanatoa haja hapo hapo ni mateso sana ...Tunza sana afya yako , hapa kitaa kuna mzee miaka 60 na kuendelea anacheza mpira , yeye mwenyewe ni fundi ujenzi na kubeba zege.
 
Isije ikawa unashindia andazi la bakhressa na energy drink halafu utarajia kuishi miaka mingi.

Vijana wengi wa kiafrika lishe duni, uzinzi na starehe kwa wingi. Unakuta kijana wa miaka 24 kafubaa kama ana miaka 50.

Japo kuishi maisha marefu ni majaaliwa ila lifestyle na kipato vinachangia.
 
Wakuu amani ya bwana iwe pamoja nanyi. Wakati tukijiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mtaa kuna wazo limenijia hv ili nife kwa umri aliokufa nao rais Mwinyi natakiwa kuishi tena hapa duniani kwa miaka mingine 65?

Yani nianze kuhesabu 1,2,3,4,5.......65 hyo nimiaka sio miezi kweli kwenye hii dunia ya hivi? Hapana kwakweli. Yani nishudie tena marais sita watakao fata? Hapana kwakweli nimekataa.
Mkuu Kwa Mungu hilo ni jambo rahisi sana kwako wewe fuata ushauri wangu utaweza kuishi maisha marefu jieupushe kunywa Pombe, Uzinzi, Utumiaji wa madawa ya kulevya kupiga punyeto ulaji mbaya wa vyakula feki,kuacha kula nyama ya aina yoyote vyakula vya mafuta kula na vyakula vya kusindika maviwandani . Punguza kilo mwilini mwako,Acha kula kwa mama ntilie acha kula mkate mweupe kula mkate wa rangi ya brown acha kula maandazi chapati viazi mbatata, chips sambusa keki kababu vitumbuwa keki acha kula jjuisi feki za maviwandani, Kula vizuri lala kwa usiku masaa 8 punguza Stress kula vyakula vya nafaka havija kobolewa kunywa maji kila siku lita 3 na nusu maji ya uvuguvugu, kila siku aubuhi kunywa kijiko 1 cha Asali na kijiko 1 cha mafuta ya zaituni (Olive oil) utakuwa na maisha marefu sana. Nimekupa hiyo Tips ifanyie kazi ukitaka kuishi maisha marefu.
 
Wakuu amani ya bwana iwe pamoja nanyi. Wakati tukijiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mtaa kuna wazo limenijia hv ili nife kwa umri aliokufa nao rais Mwinyi natakiwa kuishi tena hapa duniani kwa miaka mingine 65?

Yani nianze kuhesabu 1,2,3,4,5.......65 hyo nimiaka sio miezi kweli kwenye hii dunia ya hivi? Hapana kwakweli. Yani nishudie tena marais sita watakao fata? Hapana kwakweli nimekataa.
Mkuu pm,ilikubali kufunguka?
 
Back
Top Bottom