Pesa za kukutunza unazo au unataka tu kusumbua wajukuu bro.....
Pensheni zipoPesa za kukutunza unazo au unataka tu kusumbua wajukuu bro.....
Sasa huko si mateso...wanakuwa wanatembea?Inawezekana hata zaidi ya hapo.huko Kilimanjaro wazee wanafikisha Hadi miaka zaidi ya 115
Ndiyo japo Kwa shida.Sasa huko si mateso...wanakuwa wanatembea?
muache mwenzio azeeke banaPesa za kukutunza unazo au unataka tu kusumbua wajukuu bro.....
Nakazia 😊Maisha ni mkataba, mkataba ukiisha haijarishi unamiaka mingapi.... ✍️ ✍️
Uzee bila hela ni jehanam toshaPesa za kukutunza unazo au unataka tu kusumbua wajukuu bro.....
Mkuu Kwa Mungu hilo ni jambo rahisi sana kwako wewe fuata ushauri wangu utaweza kuishi maisha marefu jieupushe kunywa Pombe, Uzinzi, Utumiaji wa madawa ya kulevya kupiga punyeto ulaji mbaya wa vyakula feki,kuacha kula nyama ya aina yoyote vyakula vya mafuta kula na vyakula vya kusindika maviwandani . Punguza kilo mwilini mwako,Acha kula kwa mama ntilie acha kula mkate mweupe kula mkate wa rangi ya brown acha kula maandazi chapati viazi mbatata, chips sambusa keki kababu vitumbuwa keki acha kula jjuisi feki za maviwandani, Kula vizuri lala kwa usiku masaa 8 punguza Stress kula vyakula vya nafaka havija kobolewa kunywa maji kila siku lita 3 na nusu maji ya uvuguvugu, kila siku aubuhi kunywa kijiko 1 cha Asali na kijiko 1 cha mafuta ya zaituni (Olive oil) utakuwa na maisha marefu sana. Nimekupa hiyo Tips ifanyie kazi ukitaka kuishi maisha marefu.Wakuu amani ya bwana iwe pamoja nanyi. Wakati tukijiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mtaa kuna wazo limenijia hv ili nife kwa umri aliokufa nao rais Mwinyi natakiwa kuishi tena hapa duniani kwa miaka mingine 65?
Yani nianze kuhesabu 1,2,3,4,5.......65 hyo nimiaka sio miezi kweli kwenye hii dunia ya hivi? Hapana kwakweli. Yani nishudie tena marais sita watakao fata? Hapana kwakweli nimekataa.
Mkuu pm,ilikubali kufunguka?Wakuu amani ya bwana iwe pamoja nanyi. Wakati tukijiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mtaa kuna wazo limenijia hv ili nife kwa umri aliokufa nao rais Mwinyi natakiwa kuishi tena hapa duniani kwa miaka mingine 65?
Yani nianze kuhesabu 1,2,3,4,5.......65 hyo nimiaka sio miezi kweli kwenye hii dunia ya hivi? Hapana kwakweli. Yani nishudie tena marais sita watakao fata? Hapana kwakweli nimekataa.