Ili niupate mwisho mwema nimeamua kuwasamehe wote walionifanyia ubaya

Ili niupate mwisho mwema nimeamua kuwasamehe wote walionifanyia ubaya

Kwani mtu atakayekuzika ana umuhimu gani kwako mkuu???? Haya mambo ya kudandia misemo ya wahenga sijui yataisha lini....ukishakufa , kukuzika au kutokuzika ni juu yao walobaki duniani we haikuhusu
 
Sijawah nuniana na mtu sijui mi ninatatizo gani unaweza pita mwaka ata sijaeushiana ngumi na mtu
 
Back
Top Bottom