Wakuu nimeamua kusamehe kwa sababu sijui atakaenizika nimewasamehe wabaya wangu lakini nisingependa ukaribu nao, tukikutana tusalimiane tu kwa bashasha lakini sitaki ukaribu nao.
Kwani mtu atakayekuzika ana umuhimu gani kwako mkuu???? Haya mambo ya kudandia misemo ya wahenga sijui yataisha lini....ukishakufa , kukuzika au kutokuzika ni juu yao walobaki duniani we haikuhusu
Wakuu nimeamua kusamehe kwa sababu sijui atakaenizika.nimewasamehe wabaya wangu lakini nisingependa ukaribu nao,tukikutana tusalimiane tu kwa bashasha lakini sitaki ukaribu nao.