LIVINUS ROMANUS MAYANGA
Member
- Apr 26, 2019
- 37
- 15
Habari za asubuhi ndg wakuu.
nimejitafuta kwa miaka 14 tangu nilipohitimu chuo sasa nafikiri kujiajiri kwa sababu nimesubiri ajira kwa muda mrefu bila mafanikio.
Nafikiria kujiajiri katika fani yangu. So nahitaji msaada kujua ili niweze kujenga shule ya msingi natakiwa kuwa na eneo lenye ukubwa kiasi gani (sqm ngapi)