LIVINUS ROMANUS MAYANGA
Member
- Apr 26, 2019
- 37
- 15
Huna mtaji mkuu wa kuanzisha shule ya English medium, wanao miliki hayo mashule hawajawahi kuwaza kuajiriwa au kutafuta ajira.......Habari za asubuhi ndg wakuu.
nimejitafuta kwa miaka 14 tangu nilipohitimu chuo sasa nafikiri kujiajiri kwa sababu nimesubiri ajira kwa muda mrefu bila mafanikio.
Nafikiria kujiajiri katika fani yangu. So nahitaji msaada kujua ili niweze kujenga shule ya msingi natakiwa kuwa na eneo lenye ukubwa kiasi gani (sqm ngapi)
Inategemea na ukubwa wa shule yako. Kama ya bweni au day.Habari za asubuhi ndg wakuu.
nimejitafuta kwa miaka 14 tangu nilipohitimu chuo sasa nafikiri kujiajiri kwa sababu nimesubiri ajira kwa muda mrefu bila mafanikio.
Nafikiria kujiajiri katika fani yangu. So nahitaji msaada kujua ili niweze kujenga shule ya msingi natakiwa kuwa na eneo lenye ukubwa kiasi gani (sqm ngapi)
Unadanganya,Kuna mwalimu Mmoja Bado anafundisha tena shule ya kata lakini ana shule Kali tu English Medium na inafanya vizuriHuna mtaji mkuu wa kuanzisha shule ya English medium, wanao miliki hayo mashule hawajawahi kuwaza kuajiriwa au kutafuta ajira.......
Atlas ya Ubungho sijui kama hata Robo eka imefikaMwongozo Unasema Eka 7.Lakini Kwa Mjini hata Chini ya hizo unajenga,provided Majengo yawe high rise.Naamini umeshaona tofauti ya Eneo la Shule Kati ya Miji na Kijijini.Waweza Ingia web ya Wizara kuna Mwongozo pakua na Kusoma.