Ili serikali isikopesheke, deni la Taifa linatakiwa kufika kiasi gani?

Ili serikali isikopesheke, deni la Taifa linatakiwa kufika kiasi gani?

nelly nashon

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
242
Reaction score
521
Naomba kujua wadau, ili nchi isikopesheke, deni ka Taifa linatakiwa kufika kiasi au asilimia ngapi?
 
Nadhani kichwa cha habari ingefaa kiwe "ili nchi isikopesheke,deni la taifa linatakiwa kufika kiasi gani?"...serikali ni kakikundi ka wajanja wajanja tu hasa kwa nchi zetu hizi za ki-Africa ila wanaotambulika na tunaolipa deni ni sisi sio wao,hao wanatuwakilisha tu ndo mana huwaoni kuwa na aibu kusimama hadharani na kusema deni la taifa halijakuwa sana.
 
Back
Top Bottom