Nadhani kichwa cha habari ingefaa kiwe "ili nchi isikopesheke,deni la taifa linatakiwa kufika kiasi gani?"...serikali ni kakikundi ka wajanja wajanja tu hasa kwa nchi zetu hizi za ki-Africa ila wanaotambulika na tunaolipa deni ni sisi sio wao,hao wanatuwakilisha tu ndo mana huwaoni kuwa na aibu kusimama hadharani na kusema deni la taifa halijakuwa sana.