GOLD BOY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 387
- 490
Kwa mtazamo wangu simba sc ili ifanikiwe kimpira barani africa inatakiwa isajili washambuliaji kutoka inchi hizi barani africa na wachukuwe anaecheza kikisi cha taifa.
Morocco [emoji1173]
Mali [emoji1159]
Senegal [emoji1211]
Burkina faso [emoji1059]
Egypt [emoji1093]
Nimeona wachezaji wenye taLent na kujituma sana sio kama wetu
Morocco [emoji1173]
Mali [emoji1159]
Senegal [emoji1211]
Burkina faso [emoji1059]
Egypt [emoji1093]
Nimeona wachezaji wenye taLent na kujituma sana sio kama wetu