Ili timu ya Taifa iwe bora ni lazima TFF, Serikali na Wadau wote tuboreshe ligi yetu ya ndani

yawkol

New Member
Joined
Feb 20, 2019
Posts
2
Reaction score
0
Ili timu iwe bora lazima kwa pamoja TFF na serikali na wadau wote tuangalie namna Bora kwa ligi yetu ya Ndani iwe na ushindani zaidi maana timu zetu zimekuwa zikishinda kwa wepesi zaidi ligi ya Ndani ukiangalia upatikanaji wa Maoni ukilinganisha na aina wachezaji tulionao hasa Simba tofauti na ligi zingine kama za Kenya na DRC ambapo mshindi aweza kuwa yeyote

Kwa maoni watu wahamasishwe kuwekeza kwenye timu ambazo zina kipato cha chini kama lipuli, mbeya city n.k hizi zikiwa Bora ushindani utakuwepo. Kwahiyo tusiliangalie kwa muktadha wa kuwekeza ili kupata faida tuu Bali tuone mbali zaidi hata tunapokwenda kushiriki klabu bingwa tunakuwa imara.

Mara tunapenda kuwekeza ili kupata matokeo ya muda ufupi tuu, tunahitaji kubadilika Jamani ktk hili!! Utajiuliza timu za chini zikiwa zinacheza mapato mbona Huwa ni hafifu? e.g mechi Simba na African lion jana mapato yalikuwa 40million tuu na kwasababu hakuna mdhamini mgao lion utakuwa mdogo tuu.

Kwahiyo kamwe wataendelea kudumaa tuu kisoka. Kwa nini tusiweke nguvu kubwa kutafuta wawekezaji? Shida pia siasa ktk mpira wetu maana hata hao wawekezaji hutumia mpira kufanya siasa. Shida Bado ni nyingi siwezi kuzimaliza........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni nyingi hatuwezi kuzimaliza mkuu
 
Tatizo ni mfumo wa usimamizi na upatikanaji wa viongozi pia wapiga kura ambao hutengenezwa pia wizara,BMT ni wabovu kama unakumbuka ilielezwa viongozi/wenyeviti watakaochaguliwa ktk nafasi za ,TFF waachie nafasi moja mpaka leo hawajaacha BMT/Tenga hasemi wala Wizara/Mwakyembe hasemi unategemea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…