Niko job of sin kuna Mfanyakazi mwenzangu kaja na fomu ya mkopo wa bank nilipojaribu kuisoma kujua mashariti Tao nimegundua kipengele cha dhumuni la mkopo ikanibidi ma Mimi nivae viatu vya muhusika nikafikiria mambo matatu ya kuanza nayo maishani napenda sana kuwa na gari pia napenda kuwa na familia yaani mke na watoto tatu napenda kuwa na kwangu yaani nyumba yangu haya yote yanahitaji maandalizi yaani pesa njia panda yangu ni kwamba kipi kikianza kitanipa urahisi wa kupata mawili yaliobaki nikianza na mke nitapata gari na Nyumba maana matumizi yataongezeka au nikianza ujenzi nitakaa muda bila kuoa naomba ushauri kipi nianze nacho.
Cha kwanza kabisa ni uhakika wa kula na kushiba,inakuja ndoa kisha nyumba na vingine kufuata
"utakapo kula na kushiba kisha ukajenga nyumba nzuri usimsahau Bwana Mungu wako...."
Huhitaji mkopo kumjua Mungu Elli.
99% walipata bila kutarajia lakini kupanga kupata mtoto bila mke ni kumnyima mwanao haki za msingi
Niko job of sin kuna Mfanyakazi mwenzangu kaja na fomu ya mkopo wa bank nilipojaribu kuisoma kujua mashariti Tao nimegundua kipengele cha dhumuni la mkopo ikanibidi ma Mimi nivae viatu vya muhusika nikafikiria mambo matatu ya kuanza nayo maishani napenda sana kuwa na gari pia napenda kuwa na familia yaani mke na watoto tatu napenda kuwa na kwangu yaani nyumba yangu haya yote yanahitaji maandalizi yaani pesa njia panda yangu ni kwamba kipi kikianza kitanipa urahisi wa kupata mawili yaliobaki nikianza na mke nitapata gari na Nyumba maana matumizi yataongezeka au nikianza ujenzi nitakaa muda bila kuoa naomba ushauri kipi nianze nacho.
Mkuu kuwekeza napo ni kazi kama kazi nyingine.Unaweza kuweka mkopo kwenye biashara na isifanikiwe mwisho wa siku atakuwa kupoteza hela na muda na makato juu anayapata.kwa 10M,agiza gari ya 6M au 7M,passo au vits then inayobaki wekeza ila uwe makini na serious katika usimamizi wa hiyo biashara.Biashara ikienda vizuri ongeza mtaji then ndio ufungu ndoa,ukiwa na mke mwema mtasaidiana kujenga taratibu maana mtakuwa na vipato vitatu,chake,chako na biasharaMkuu kabla ya kukushauri kipi kitangulie Ningependa tujuzane mambo ya kuzingatia kabla ya kuchukua uamuz,.. Mambo hayo ni thamani ya mkopo na mazingira uliyopo. Tukianza na thaman ya mkopo, hii itakuwezesha kujua kutokana na mkopo wako ni kitu gan unaweza ukakiafford kwa ukamilifu,mfano kama umekopa 10m na unaishi dar ckushauri ujenge sababu bei ya kiwanja na ujenz wa dar hyo nyumba itachukua zaid ya miaka mitano kumalizika kwa mtanzania mwenye kipato cha kawaida,kama huna kitega uchumi kngne ni vigumu sana kufanya mambo mengne kwa kipindi hiki.
Vilevile suala la mazingira uliyopo ni muhimu kulizingatia kwa sababu,mfano Ujenzi wa mkoani ni rahisi hvyo kwa 10m hata mm ningekushauri ujenge sababu nyumba itakamilika na utasave kodi za nyumba ya kupanga na Mipango mingine from thr inaweza ikaendelea(kama kuoa) ila kama ni dar kwa 10m ningekushaur uanze na kipando cha bei ya kawaida kwn kitakupunguzia adha nyng za public transport alaf kuoa kutafata Ujenz mwisho.
Kama ingekua mm ndo niko kwny position yako mkopo huo ningejitahidi kuwekeza na kuvumilia kuvikosa baadhi ya vitu kwa muda, naamin kupitia uwekezaji vitu hvyo vyote upatikanaji wake utakua rahisi ukilinganisha na ningetumia huo mkopo kuvipata.
Niko job of sin kuna Mfanyakazi mwenzangu kaja na fomu ya mkopo wa bank nilipojaribu kuisoma kujua mashariti Tao nimegundua kipengele cha dhumuni la mkopo ikanibidi ma Mimi nivae viatu vya muhusika nikafikiria mambo matatu ya kuanza nayo maishani napenda sana kuwa na gari pia napenda kuwa na familia yaani mke na watoto tatu napenda kuwa na kwangu yaani nyumba yangu haya yote yanahitaji maandalizi yaani pesa njia panda yangu ni kwamba kipi kikianza kitanipa urahisi wa kupata mawili yaliobaki nikianza na mke nitapata gari na Nyumba maana matumizi yataongezeka au nikianza ujenzi nitakaa muda bila kuoa naomba ushauri kipi nianze nacho.
Mkuu kuwekeza napo ni kazi kama kazi nyingine.Unaweza kuweka mkopo kwenye biashara na isifanikiwe mwisho wa siku atakuwa kupoteza hela na muda na makato juu anayapata.kwa 10M,agiza gari ya 6M au 7M,passo au vits then inayobaki wekeza ila uwe makini na serious katika usimamizi wa hiyo biashara.Biashara ikienda vizuri ongeza mtaji then ndio ufungu ndoa,ukiwa na mke mwema mtasaidiana kujenga taratibu maana mtakuwa na vipato vitatu,chake,chako na biashara
Upo sahihi sana mkuu,na hilo ndio nilikuwa nataka ulisisitize,swala la kutake a well calculated risk na kujipanga.Ndio maana pia sijataka kumshauri aingize hela zote kwenye biashara maana hana uzoefu wa biashara hivyo kufanya a well calculated risk inaweza kuwa ngumu,kwa mantiki hiyo asije kukosa vyote.3M unaweza kuizungusha ikazalisha vizuri tu,mimi naamini hivyo na kwa kukosa kwake uzoefu wa biashara kwa mtaji wa 3M itamsaidia kujifunza kusimamia biashara kuliko kuingiza 10M yote kwenye biashara ataipoteza.those who have experience have greater chance of winning when it comes to taking high risksUshauri mzuri... Though Hapa Inategemea na priorities za mtu na aina ya biashara pia, kwa mtaji wa 3m kwa baadhi ya biashara ni ngumu kufanya.. Na pia kufeli au kufaulu nikiwa na maana ya hasara au faida ni matokeo.. Tajiri wetu wa africa ambae ni mfanyabiashara nguli alishawahi kusema 'in order for someone to be successful in business you must take risk, bt make sure that it is a calculated one'
So ukijipanga(ucpo kurupuka) na kumshirikisha Mungu pia mambo yanaenda sawa.
Hii 99% umeipataje? Kwa nini sio 100% au 89%?