Ili ufurahie DStv kifurushi kianzie 60,000

KISS 100

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2021
Posts
528
Reaction score
1,120
Wasalamu,

wadau maisha ni mafupi Kila mtu ana starehe yake.

Azam nimelipia ila nashindwa kuipenda kama Dstv, naona Hawa Dstv wana picha HD sana.

Ila mnaolipia Cha 165,000 naona mnapata channel nyingi sana.

Hebu nijuzeni mnainjoi sana au magumashi?

Naombea one day nilipie zote nijue kuna nini?
 
Nataka kujua mnaolipia zote ipoje,
 
Wasalamu,

wadau maisha ni mafupi Kila mtu ana starehe yake.

Azam nimelipia ila nashindwa kuipenda kama Dstv, naona Hawa Dstv wana picha HD sana.

Ila mnaolipia Cha 165,000 naona mnapata channel nyingi sana.

Hebu nijuzeni mnainjoi sana au magumashi?

Naombea one day nilipie zote nijue kuna nini?
Sasa hivi ni 64,000
 
Lipa 64000 ule maishaaa..Epl ya kutoshaa movie kadhaaa japo channel 106 wanaweka movie kali za karibuni ila hizo helaa za mchezo sinaa..🤣🤣
 
Back
Top Bottom