Ili uishi maisha marefu

alohadm

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
360
Reaction score
157
Wana Jf ili uishi maisha marefu fanya yafuatayo
1.fanya mazoezi ya viungo
2.kunywa maji ya kutosha safi na salama
3.tumia mboga za majani na matunda kwa wingi
4.tumia kwa wingi nafaka zisizo kobolewa mfano dona
5.furahi pale inapobidi na kumwomba sana mungu.
6................
Endelezeni wana Jf docta
 
Ili uishi maisha marefu
Uwe single
Usiwe na chama chochote
Uwe na pesa
 
Discpline kwenye kila ufanyalo na kuwa na kiasi kwenye kila jambo pamoja na meditation
 
Epuka maneno au maongezi yenye mlengo hasi.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ondoka mjini rudi kijijini miaka mia!
 
Last edited by a moderator:
Kama ni mpenz wa soka Usishabikie timu za bongo ni pasua kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…