1.usiruhusu au kukubali kugonga au kugongwa "mbichi" (kavu kavu yaani bila glovu).
2. Usijenge au kupanga mabondeni usije zamishwa na mvua za masika au vuli.
3. Usipende sana usafiri wa bodaboda au Bajaza mjini.
4. Hama mitaa ya vichochoroni utakosa hewa au kukabwa.
5. Epuka pombe za mataputapu
6. Kama umepanga, lipa kodi zako mapema mwenye nyumbani asikupe presha.
7. Epuka mapenzi na mke, mume wa mtu, vitoto vidogo au wanafunzi
8. Jenga utamaduni wa kupima Afya.
9. Jiepushe na madeni ya hovyo hovyo.
10.Usipende mambo ya short cuts Kama kuiba umeme, luku, kughushi malipo nk...
11. Jenga mazoea ya kusali au Kuswali.