MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
Inamaana izo gunia za mpunga 250 Ukikoboa unapata Mchele Gunia ngapi Tupige hesabu tuone inalipa au vip?. Na bei ya kuhifadhi mpunga kwy ghara za vijijini upoje tujulishe apo na bei ya usafirishaji kutoa shambani mpaka kwy ghara upoje. Na je bei ya jumla ya mchele baada ya kukobolewa upoje tujulishe kwa ule mchele mzuri kabisaKuhudumia heka 10 ya #Mpunga kitaalam kabisa wastani inataka uwe na mtaji wa 10M kwa msimu.
Kilimo ni FEDHA kilimo ni UWEKEZAJI wa AKILI na MUDA
Usiingie kwenye kilimo cha MPUNGA kama huna FEDHA na MUDA.
N:B na kukatika mtaji ni jambo la kuweka kichwani
Mkuu swali lako lina changamoto ila nikupe jibu kwa kilo za mcheleInamaana izo gunia za mpunga 250 Ukikoboa unapata Mchele Gunia ngapi Tupige hesabu tuone inalipa au vip?. Na bei ya kuhifadhi mpunga kwy ghara za vijijini upoje tujulishe apo na bei ya usafirishaji kutoa shambani mpaka kwy ghara upoje. Na je bei ya jumla ya mchele baada ya kukobolewa upoje tujulishe kwa ule mchele mzuri kabisa
Asante kwa majibu mkuu! vipi kwa anaetaka kununua mpunga na sio kulima ? unaeza nsaidia kwa maelezo yoyoteMkuu swali lako lina changamoto ila nikupe jibu kwa kilo za mchele
Kwa wastani debe moja la mpunga lina kilo 9 za mchele ila hapa itategemea na namna ya upimaji wako inaweza kuwa 8.5 mpka 9.5 adi 10 kwa ndoo zile kubwa kwa maana mozambiki
Kilimo cha mtandaoni raha sanaMavuno Wastani gunia 250~300 kwa Eka 10.
Ili upate faida hakikisha mpunga unauweka mpka miezi ya 10,11,12 ndio soko linakua zuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kilimo cha mtandaoni raha sana