Ili Upendo na amani vidumu katika ndoa.

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,834
Yafuatayo ni mambo makuu matatu ambayo wanandoa wakiyaelewa na kuyafanya kwa uaminifu, amani na Upendo vitadumu kwa wanandoa na hakutakuwa na neno taraka tena.

Mambo yenyewe hata Mimi siyajui maana sijaoa.

Mr Smile
 
Ngoja nipitie upya threads zako za nyuma, then nitarejea ku comment badae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…