Ili ushinde perfect 12, itabidi uwe na zaidi ya milioni 1.1

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
515
Reaction score
376
Kabla ya kutaka kubet, nimejaribu huu mchezo wa p12 ili nione nafasi (chances) za mimi kushinda mechi zote. ufafanuzi ni kama ifuatavyo
kila mechi ina matokeo matatu. kwahiyo uwezekano (probability) ya kushinda kwa mechi moja tu ni 1/3 na kwa mechi mbili ni 1/9, mechi tatu ni 1/27....mechi 12 ni 1/1089
sasa ili ushinde mechi zote 12 inabidi ucheze na nafasi (chances) hasa kama mechi zote matokeo hayatabiriki(unaweza kupunguza kwa mechi ambazo una uhakika kwa 100% na matokeo yake)
Mfano
Kama timu zote zitashinda, maana yake hiyo ni nafasi moja
Timu ya kwanza ishinde na timu ya pili itoe sare na zilizobaki zishinde ni nafasi moja pia. ukiendelea kwa kubadilisha matokeo namna hii, utajikuta una nafasi 1089 yaani ucheze mara 1089 ili uweze kubashiri bila kukosea kuanzia zile mech 9,10,11 na 12. Hapo unasubiri kupewa mpunga wako tu
Utafanyaje sasa ili ushinde!!!!!!?????
ni vigumu kucheza mara 1089. toa timu ambazo una uhakika na matokeo yake. halafu anza kucheza na nafasi kwa timu zilizobaki
Nimeweka jedwali hapa chini liweze kukusaidia japo mimi nimeona sina mtaji mkubwa na nimeweka akiba ikitokea siku nafumua na nitarejesha mrejesho hapa.
nitarudi kujibu mswali na kwa wale wataalamu wa probability karibuni kwa maoni na marekebisho.
 

Attachments

ukitaka kujua muhindi nyoko... weka huzo chance zako... kama hujasema kuna kitu nilisahau...
 
Hiyo ingewezekana kama wangekuwa wanaruhusu kubet Singles
 
hakuna timu za uhakika kwenye betting!
Bayarn, Arsenal na Barca ambao utadhani ndo uhakika wanaongoza kuchana mikeka ya pesa ndefu. Timu ya uhakika kidogo ni Wigan tu!
 
hakuna timu za uhakika kwenye betting!
Bayarn, Arsenal na Barca ambao utadhani ndo uhakika wanaongoza kuchana mikeka ya pesa ndefu. Timu ya uhakika kidogo ni Wigan tu!
Yaani najiulizaga sn mtu kashinda p12
How!!!!!????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…