Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Jina la uzi juu lahusika
Naombakurejeshewa uzi wangu wa "Maisha ya Ban yasikie tu"
Naombakurejeshewa uzi wangu wa "Maisha ya Ban yasikie tu"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona mi nikifungua account nyingine Nakwamaaa?!!!Kaka Comred Kipepe alitupatia mbinu nzuri sana kukabiliana na ban kwa kufungua akaunti zaidi ya 10, unafeli wapi wewe? [emoji4]
Kwa kosa lipi au Mods wakijiskia tu wanagonva lifebanbado life ban
Kwani unalipwa?Jina la uzi juu lahusika
Naombakurejeshewa uzi wangu wa "Maisha ya Ban yasikie tu"
Hakikisha unaniambia I'd zako zoteKaka Comred Kipepe alitupatia mbinu nzuri sana kukabiliana na ban kwa kufungua akaunti zaidi ya 10, unafeli wapi wewe? [emoji4]
1. FullfiledtruthHakikisha unaniambia I'd zako zote
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi umechangamka sana
Mkuu Tunataka Unyooke Tutafuta Kila Nyuzi Yako
Kwani hao wanaofuta wanalipwa... Na wewe umefika kwa uzi huu unalipwa?Kwani unalipwa?
Njoo pm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakikisha unaniambia I'd zako zote
Kumbe hii nayo yakoNjoo pm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka ureportishe id zote
Hizi nazijua. Nataka nisizozijua1. Fullfiledtruth
2. Strongestbeliefsecret
3. Interlacustrineregion
Bado tu hujui jinsi gani ninavyokupenda Mama la Mama? [emoji39]