Am sure kuna kitu kinaendelea na aka kamtindo ka kusubotage haya magazeti yetu kuwa online.
Wanatuangamiza wengine uku tuliko gazeti kufika ni mpaka siku ya pili jamani.
Au hawataki tusome izo habari za mafisadi?
Aluta continua.........leo nimejaribu kuifungua nimeambia its is under construction.
Hoping for the best
Majuzi watu walipata shida sana kulisoma gazeti la TD on time.Wakaanza majungu hapa mara wamenunuliwa , oh mara waoga , oh mara hawana pesa.Wengi tukasema ulikuwa ni upuuzi maana hatuwasaidii TD hata senti tano kuwasaidia kufanya biashara yao ya gazeti hata kama ukiwa msomaji mpenzi.Ukiwakosa hewani on time si lazima uanze matusi, leo ni karibia wiki sasa Mwananchi wana matatizo .Je wale wazushi wa maneno mko wapi mtupe habari za kizushi ama mko kimya kwa kuwa halina connection na Chadema ?

Waheshimiwa nawashukuru kwa kuchangia hoja inayohusu uhuru wa habari.
Naona wazi kuwa kuna watu wanaofikiri CCM na Mafisadi wao wamelala. Kwa hakika hawa watu wako busy na wanatafuta kwa bidii kunyamazisha kila sauti inayowaamsha watanzania.
Lakini kwa kuwa nimepata taarifa nyingi kuwa Katibu Mgosi anapewaga habari zote zinazopita hapa JF nami kupitia hapa hapa ninampa ujumbe mfupi wa kudumu (UMK).
Mkubwa waweza kuendelea na kazi yako ya kuwashambulia watanzania wazalendo kwa kila lugha za kejeli na ubabe. waweza pia kuendelea kutumia fedha zao wanazokamuliwa, kudhalilisha haki zao na utu wao. Haya yote waweza kufanya kwa muda mfupi sana. Lakini kama jinsi ambavyo haiwezekani kuzuia jua kuchwa, saa inakuja na kila mtu atajua yaliyofanywa na wakubwa hawa. hapa ndipio mgosi atapewa heshima inayomstahili na Zitto, Slaa, Ndesamburo + Hamad Rashid watapokea yao.
Kwa UMK hiyo nakushauri kaka mgosi uanze kufikiria mbali na kutamane heshima ya wajukuu na vitukuu vyako.
Naapa!!!! Haki ya Mungu lazima kitakuja kizazi kitakachotaka kujua viongozi wa CCM wa sasa walikuwaje hadi kuwalinda na kuwatandikia mazulia mekundu mafisadi.
Kwaheri