Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi humu Jamii foram watu wangekuwa wana comment kwa kisukuma.
Nimekuwa nikisikia kuwa kulikuwa na mjadara kuwa Lugha ya taifa iwe ni kisukuma eti kwa sababu lugha hiyo imekaa vizuri na inamisamiati mingi.
Hivi ni kweli?
Wewe kumbe mtani wao. Duh ni wale wanaokula vyura nn?
Aisee! kazi tungekuwa nayo. Ila pengne tunaiona hivyo kwa kutoizoeaAh kisukuma lafudhi yao ngumu km ugali wao hahaha sijui ingekuwaje! Ingekuwa kulila masumanda tuu watani bhana