Ngonalugali
JF-Expert Member
- Jan 12, 2008
- 659
- 110
Jamaa alidai mbegu hazikuwa na msukumo wa kufikia yai. Na mimi nikampa hata angetumia msukumo wa compressor kama mambo ni dry ni dry tu....
Lugali, hivi wapi naweza kupata hiyo compressor?!!!!!!! 🙂 😀
Wewe Kidzogolae sikuelewi kabisa mshkaji, Nilisoma mail yako kwenye thread ya mlango wa dharura nikadhani wewe mlokole kwa jinsi ulivyochangia mara Sodoma na Gomora walichomwa, oh, mpokee Yesu uende mbinguni, oh... Leo hii unakuja hii ya kwamba umefanya ngono na msichana(sio mkeo) na jana yake ulikuwa na mzigo mwingine. Kumbe ile contribution ya siku ile ulikuwa unazuga tuamini u mtakatifu sana eh? Nimekugundua!!!!
Hivi, inawezekana kuwa, mtu akapata mimba wakati mbegu zilikuwa zinaenda polepole sana? yaani ni hivi, mimi ni mwanaume, nilikuwa nafanya ngono na msichana fulani hivi. nilikuwa sihitaji nimpe mimba. wakati nataka kuijaculate, nilitoa nje ili imwagikie nje. nilihisi mbegu zangu haziendi kwa kazi, na zilikua chache sana kwasababu jana yake nilikuwa ktk mchezo huohuo kwa mziki mkubwa sana mara nyingi. hivyo nilijua kuwa nimeondoka bila kumtia mimba. cha ajabu, kwa siku zilezile, nilikuja kuambiwa na yule dada kuwa nimemtia mimba. naomba kuuliza. sitaki kama ni mimba yangu niitelekeze kwani nitakuwa nimetelekeza mtoto wangu.
hivi, mimba huweza kutungwa, hata kama mbegu haikuwa kwenye speed?yaani kadogo tu kalidondokea mlangoni wala si ndani? ni speed gani ya mbegu inahitajika kuifikia fallopian tube? hata kaspid kadogo tu? nisaidieni hapo jamani.
steve D, ni kweli kabisa mambo ya taulo, nina rafiki yangu mmoja yalimfika, walikuwa wameoana lakini hawakuwa na mpango wa mtoto, so ikatokea hivo, jamaa kananiii kwenye taulo naye binti katumia ileile taulo kujifutia, mimba bap!
yaani bora hizo mbegu zifikie kwenye uke, unyevu ulioko zitasurvive na kuogelea, remember they are microsopic and they need a very thin film of moisture to survive.