Ilikua lazima Mo Dewji aweke bilioni 20 baada ya Azam kutoa mkataba mnono Yanga

Ilikua lazima Mo Dewji aweke bilioni 20 baada ya Azam kutoa mkataba mnono Yanga

abdulhamis

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
1,436
Reaction score
2,296
Habari Wana michezo poleni wanachama wenye team yenu sababu mnaponzwa na mashabiki Kwan wao wanacho taka ni furaha tu

Leo Mo katangaza kuweka Ile B20 ya hisa 49 kitu ambacho asinge fanya kama yanga wasinge Pata dili nono Tena Mara mbil ya pesa anayo Lipa Mo-Dewji kwa kumiliki hisa 49 milele uku yanga wao wakiuza haki za matangazo kwa miaka 10 tu

Kwanini nasema Mo ilikua lazima aweke izi fedha ni sababu kaogopa kununua Muda kwani Simba fukuto lilikua kimesha Anza la Wana simba Kuanza kuonesha Dalili ya kumkataa ki Aina

Pia habar za chini kwa chin zina Sema kua Mo alimtumia Babra C. E. O kuandika pesa zote wanazo chukua kwa Moo kua Simba wanakopa na Mo Leo Atazikata izo hela Ambazo inasadikika ni B7 ivyo moo Leo B13 ndiomana kaanza kwa kujihami kua kwenye simba amesha tumia Zaidi ya B21 kwenye kuendesha team

Ili yoyote atae taka kukanusha ili atuoneshe risit ya B20 kama itawekwa Leo?

Pia kumbe FCC mwanzo waligoma sababu Mo alitaka kila kitu cha simba kuanzia wachezaj wafanyakaz wawe chini ya Moo company na sio chini ya simba na kwa Hali io mtu yeyote atakae kua simba ajue kua yuko kasjiriwa na Mo ndiomana hata Haji Manara kafukuzwa simba yote sababu ya yeye kujitoa kuwa mfanyakaz wa Mo na kuwa mfanyakazi wa Simba.

Ndio maana Manara alikua anafanya matangazo ya bidhaa tofaut na za Mo ila Mo hakutaka, yeye alitaka Manara asaini mkataba wake ambao hatofanya kazi tofauti na Mo Dewji company
 
Utopolo waambie Azam waweke mpunga, mtaishia kuhesabu namba tu hela tunashika sisi
 
Kama maskara vile Simba ndio tayari imesha nunuliwa kwa 20 b, ndio maana waziri Mwakyembe alisema thamani ya hizi timu ni zaidi ya 20b. na Azam wametuonyesha ilo kwa Yanga.
 
Kama maskara vile Simba ndio tayari imesha nunuliwa kwa 20 b, ndio maana waziri Mwakyembe alisema thamani ya hizi timu ni zaidi ya 20b. na Azam wametuonyesha ilo kwa Yanga.
Waambie hao Azam waweke hiyo hela km mnavyopiga tarumbeta kwa Simba
 
Kama maskara vile Simba ndio tayari imesha nunuliwa kwa 20 b, ndio maana waziri Mwakyembe alisema thamani ya hizi timu ni zaidi ya 20b. na Azam wametuonyesha ilo kwa Yanga.
Simba koko kweli wameridhika 20B?
kiuhalisia wakitajiwa wawe 500B kwa sasa
 
Kama maskara vile Simba ndio tayari imesha nunuliwa kwa 20 b, ndio maana waziri Mwakyembe alisema thamani ya hizi timu ni zaidi ya 20b. na Azam wametuonyesha ilo kwa Yanga.
Andamana ofisi za GSM mpaka CAS afu sisi tutakujib uwanjan
 
Back
Top Bottom