Ilikua lazima Mo Dewji aweke bilioni 20 baada ya Azam kutoa mkataba mnono Yanga

2025 anarudi bungeni na atawamiliki 100%[emoji23]
Amiliki tu,,Simba Africa ni club No12 kwa uoubwa uto sijui iko wap tumengia robo fail mara2 tumebeba vikombe mara 4 mfululizo hapa bongo AF 2 BACK TO BACK ngao za jamii za kutosha, mitandaon ndio club No 1 kua nawafuasi wengi , unataka nini labda huoni akinunua itapendeza zaidi

Au tuandamane GSM mpaka CAS tukadai kombe letu sisi utopolo
 
Ulichokiandika naona kama kina ukweli maana nikiangalia sakata la Manara kutakiwa kupewa mkataba wa 4m ili awe anatumia kwa Simba na Mwamedi nikaona tu jamaa ni janja Sana naona kastuka mapema angechelewa kidogo watu wangemzunguka Hilo dili
 
Soma au uliza, unapata aibu ndugu
 
Wahi ukashtaki CAS Mo anyang'anywe hizo hisa
 
Juzi umeandika kimbea haya endeleeni kufurahia bil 38 zenu ZA mafungu hahahaaa sisi zimeingia bil ZA pamoja na mkitaka kujua tukubaliane kufanya matumizi ya billion 3 tu kwa msimu huu kutoka kwenye pesa ZA mkataba ya azam na Mo ndio utajua kwamba mnajitekenya na kucheka wenyewe.
 
Hata akijitokeza mshanajr timu ikaanza kupata matokeo....hatutaona Shida kumwachia.
Sio Kila siku mnan'gang'ania timu ya wananchi halafu mnakimbiza mikia
 
Hicho ndicho kikomo cha akili zako na upeo wa kufikiria kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…