Ilikuaje hadi Yanga akafungwa 5-0 na Simba?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Nini kilijiri siku hiyo hadi ikapelekea Yanga wakachabangwa goli 5-0 dhidi ya Simba?

Je Yanga waliingiza kikosi dhaifu? Je Simba walikuwa na kikosi imara? Au Yanga walikosea masharti ya mganga?

Karibuni kwa mjadala...
 
Kwakua Royd Nchunga alikua ataki kuachia ngazi, timu aliachiwa pekeyake na Akafanyiwa Fitina za ki mpira, ukumbuke refalii aliyechezesha alikua mdau wa Yanga lakini kwenye ile mechi aliwapa Simba penati tatu. Kwa ujumla yanga waliamua sikuile iwe mwisho wa Nchunga na ikawa hivyo automaticaly.
 
ilikuaje hadi yanga akachukua kombe mara tatu mfululizo katika ligi kuu na wakati simba wanashiriki?
Ilikuwaje hadi Yanga akachukua kombe mara nyingi zaidi katika ligi kuu

Je simba walikuwa daraja la kwanza?, je simba walikuwa wakichezesha wanafunzi wa shule ya msingi?

Karibuni tukumbushane..
.
DF44n0dXcAA_OZl.jpeg
 
Ilikuwaje hadi Yanga akachukua kombe mara nyingi zaidi katika ligi kuu

Je simba walikuwa daraja la kwanza?, je simba walikuwa wakichezesha wanafunzi wa shule ya msingi?

Karibuni tukumbushane..
Huu sasa ukorofi, jibu kwanza swali langu
 
Kwakua Royd Nchunga alikua ataki kuachia ngazi, timu aliachiwa pekeyake na Akafanyiwa Fitina za ki mpira, ukumbuke refalii aliyechezesha alikua mdau wa Yanga lakini kwenye ile mechi aliwapa Simba penati tatu. Kwa ujumla yanga waliamua sikuile iwe mwisho wa Nchunga na ikawa hivyo automaticaly.
Huyo refa wa mtanange wa siku hiyo ambaye ni mdau wa Yanga anaitwaje ili tuweke rekodi sawa.
 
Ilikuwa kazi ya Yanga yenyewe kumwondoa Nchunga. Upuuzi mkubwa sana.
Hizi timu mmoja kumfunga mwingine zaidi ya goli mbili bila hujuma si rahisi.
Wenye akili wanajua ukweli huu.
 
Nini kilijiri siku hiyo hadi ikapelekea Yanga wakachabangwa goli 5-0 dhidi ya Simba?

Je Yanga waliingiza kikosi dhaifu? Je Simba walikuwa na kikosi imara? Au Yanga walikosea masharti ya mganga?

Karibuni kwa mjadala...

Mwenyekiti alisema Mze Akilimali alichelewa kubugia ugoro wake na aliingilia geti alilokatazwa.
 
Back
Top Bottom