Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kwakua Royd Nchunga alikua ataki kuachia ngazi, timu aliachiwa pekeyake na Akafanyiwa Fitina za ki mpira, ukumbuke refalii aliyechezesha alikua mdau wa Yanga lakini kwenye ile mechi aliwapa Simba penati tatu. Kwa ujumla yanga waliamua sikuile iwe mwisho wa Nchunga na ikawa hivyo automaticaly.Nini kilijiri siku hiyo hadi ikapelekea Yanga wakachabangwa goli 5-0 dhidi ya Simba?
Je Yanga waliingiza kikosi dhaifu? Je Simba walikuwa na kikosi imara? Au Yanga walikosea masharti ya mganga?
Karibuni kwa mjadala...
ilikuaje hadi yanga akachukua kombe mara tatu mfululizo katika ligi kuu na wakati simba wanashiriki?
.Ilikuwaje hadi Yanga akachukua kombe mara nyingi zaidi katika ligi kuu
Je simba walikuwa daraja la kwanza?, je simba walikuwa wakichezesha wanafunzi wa shule ya msingi?
Karibuni tukumbushane..
Aiseeeeeeee
ilikuaje hadi yanga akachukua kombe mara tatu mfululizo katika ligi kuu na wakati simba wanashiriki?
Kwahiyo kusingekuwa na mgogoro Yanga angeshinda?Kulikuwa na mgogoro mkubwa na mgomo baridi ndani ya timu.mikia yenyewe inatamba bure tu
Huu sasa ukorofi, jibu kwanza swali languIlikuwaje hadi Yanga akachukua kombe mara nyingi zaidi katika ligi kuu
Je simba walikuwa daraja la kwanza?, je simba walikuwa wakichezesha wanafunzi wa shule ya msingi?
Karibuni tukumbushane..
Aisee, nasikia Yanga walikuwa pungufuPatrick Mutesa Mafisango R.I.P
Emmanuel Okwi.
Siku hiyo Nsajigwa alikuwa kama chandarua za msaada ambazo hata nzi anapenya [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo refa wa mtanange wa siku hiyo ambaye ni mdau wa Yanga anaitwaje ili tuweke rekodi sawa.Kwakua Royd Nchunga alikua ataki kuachia ngazi, timu aliachiwa pekeyake na Akafanyiwa Fitina za ki mpira, ukumbuke refalii aliyechezesha alikua mdau wa Yanga lakini kwenye ile mechi aliwapa Simba penati tatu. Kwa ujumla yanga waliamua sikuile iwe mwisho wa Nchunga na ikawa hivyo automaticaly.
Wakujibu yupo basi?Ilikuwaje hadi Yanga akachukua kombe mara nyingi zaidi katika ligi kuu
Je simba walikuwa daraja la kwanza?, je simba walikuwa wakichezesha wanafunzi wa shule ya msingi?
Karibuni tukumbushane..
Nini kilijiri siku hiyo hadi ikapelekea Yanga wakachabangwa goli 5-0 dhidi ya Simba?
Je Yanga waliingiza kikosi dhaifu? Je Simba walikuwa na kikosi imara? Au Yanga walikosea masharti ya mganga?
Karibuni kwa mjadala...
Wakujibu yupo basi?[
Ilikuaje hadi Simba akachukua kombe mara tano mfululizo katika ubingwa Tanzania 1976 hadi 1980 na wakati Yanga wanashiriki?ilikuaje hadi yanga akachukua kombe mara tatu mfululizo katika ligi kuu na wakati simba wanashiriki?
Huyo mgogoro alicheza namba ngapi YangaKulikuwa na mgogoro mkubwa na mgomo baridi ndani ya timu.mikia yenyewe inatamba bure tu