Ilikuaje P funk akiwa Khalfan?

Ilikuaje P funk akiwa Khalfan?

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Habari wakuu

Naomba kujua kwanini wasanii wengi humuita P funk Khalfan wakat nnavojua yye anaitwa Paul
 
Khalfani ni jina la babu yake,mzaa mama,nadhani sio wasukuma,ni wabena au wahehe,makazi yao ni Njombe/Makete.

Ok .. ila niliwahi msikia kwenye interview flani akisema ye ni msukuma kwa mama
 
Mama yake ni Mbena aliyezaliwa usukumani, kwake ni pale Bamaga nyuma ya petrol station jirani na ofisi ya zamani ya Shigongo na magazeti yake ya udaku. Na ndipo ilipokuwa studio yake
 
Mama yake ni Mbena aliyezaliwa usukumani, kwake ni pale Bamaga nyuma ya petrol station jirani na ofisi ya zamani ya Shigongo na magazeti yake ya udaku. Na ndipo ilipokuwa studio yake
kwa sasa studio yake ipo wapi
 
Back
Top Bottom