Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Khalfani ni jina la babu yake,mzaa mama,nadhani sio wasukuma,ni wabena au wahehe,makazi yao ni Njombe/Makete.Jina toka upande wa mama yake ambae ni msukuma na muislam
Khalfani ni jina la babu yake,mzaa mama,nadhani sio wasukuma,ni wabena au wahehe,makazi yao ni Njombe/Makete.
Jina toka upande wa mama yake ambae ni msukuma na muislam
Ni mtarayarishaji muzikihuyu dogo mimi hata simfahamu kabisa
umenikumbusha wimbo wa Kikosi cha mizinga
Duwh sasa mbona vichwa wote wa nchi hii ni wasukumaOk .. ila niliwahi msikia kwenye interview flani akisema ye ni msukuma kwa mama
kwa sasa studio yake ipo wapiMama yake ni Mbena aliyezaliwa usukumani, kwake ni pale Bamaga nyuma ya petrol station jirani na ofisi ya zamani ya Shigongo na magazeti yake ya udaku. Na ndipo ilipokuwa studio yake
Kila kitu kipo hapo kwa mama yakekwa sasa studio yake ipo wapi
Na kazi za uzalishaji mziki zinaendelea?Kila kitu kipo hapo kwa mama yake
NoNa kazi za uzalishaji mziki zinaendelea?
Ingawa kwa siku hizi neno "kikosi cha mizinga" lina maana tofauti kabisa..kiswahili kinakua kwa kazi ya ajabu sana..umenikumbusha wimbo wa Kikosi cha mizinga
Ingawa kwa siku hizi neno "kikosi cha mizinga" lina maana tofauti kabisa..kiswahili kinakua kwa kazi ya ajabu sana..
Wanawake waomba helaMaana ipi hiyo?