Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Je huo sii weledi wa Kitanzania, je sii sehemu ya siasa chafu na ukosefu wa uongozi Bora?Hii kesi imetengenezwa mahususi na vijana wa Mzena, lengo ni kuwatoa watu kwenye kujadili swala la katiba mpya maana moto wa Mbowe ulikuwa mkali, wanachofanya ni kuvuta attention ya raia kutoka kudai katiba kwenda kwenye kujadili swala la kesi then baadae wanamuachia Freeman wakiona upepo umepoa