Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Ajifunzi kitu gani? Jinsi ya kufanya magumashi bila kukamatwa au?Shida Kitumbo hajifunzi.
Kanuni zinaainisha wazi kwenye upangaji matokeo timu pia zinahusika..ngoja tuone!apande ligi kuu kivip na wakati Kitayose hawajakatwa point
Kitumbo alifanya hayo kwa baraka za timu au kwa mapenzi yake tu!?Kanuni zinaainisha wazi kwenye upangaji matokeo timu pia zinahusika..ngoja tuone!