balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Haya weee,niseme nini mie! Imetokea hivyo tena utafanyaje bana.Meseyside kapigwa nne na Goodson park mtu kala mkono.Kazi imekuwa ngumu safari hii.Hao Manchester angalau hata kama mmoja alipigwa na kijana mdogo,hali yao si kama yetu hapa Liverpool.Jiji kubwa,jiji kongwe,jiji lenye histiria kuntu,,,,hii ni aibu ya mwaka.Hakika ilikuwa week end ya aibu na Jumamosi ni siku iliyojaa kiza.