Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011

Hongera sana Mama totoo! Tulijiunga siku moja kwa malengo mamoja na hatujawahi kupigwa ban! Na hatutarajii kuipata!
Jipambe utoke bomba nikupeleke Sundown Cannivo mpz! Me love you much!

Ndio maan nimesema, hatukukutana barabarani.... Penzi letu lidumu daima..........
Utanikuta niko tayari ,ndio namalizia kutengeneza kucha....
 

Asante sana Babu Dark City .. Kwa kweli hata mimi sijutii kukufahamu.... Busara zako ni za ukweli.... Msalimie sana Bibi.
.
Babu DC wewe mwenyewe umeshakiri mie ni wa Dot com.....Mapungufu yapo na ndio tunajifunza pole pole.. Kweli nimemkosea mume wangu kwa kumtaja wa mwisho na hilo sintarudia tena.. I am sorry darling Filipo .

Babu I am touched , kwa sifa ulizonimwagia na ulizozipeleka kwa kina Invisible ... Nitajitahidi kutokubadilika kwa upande m-baya,na MUNGU anisaidie.... Maneno yako yatakuwa kama alarm ya kunikumbusha kuwa mwema daima....

Nakutakia maisha marefu na matamu Babu DC..
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Mama totoo! Tulijiunga siku moja kwa malengo mamoja na hatujawahi kupigwa ban! Na hatutarajii kuipata!
Jipambe utoke bomba nikupeleke Sundown Cannivo mpz! Me love you much!

Hahahahahahahahah,

Kumbe mlijiunga siku moja??

Jina lako la zamani lilikuwa lipi??

Halafu usome vizuri hiyo post ya mama totooo....na maneno ya babu...sawa ehhhh???


Duuuuuuuuuuuuuuu......umeua marejesho...!!

Hapa wewe mwenyewe umedhihirisha ushuhuda wa babu...kama kuna mtu atakuja kunizulia kesi, basi namleta kwenye hii reference post...!!

Ndiyo maana wenye busara zao walisema enzi zao kuwa "mke mwema hutoka kwa God...."....lol!!

Siyo kila mtu bado anatumia huo msamiati..(blue)...Angekuwa chizi mmoja hapa kama Madame B au Kongosho...hii ilikuwa tayari imeshakuwa ligi ya kutimua nayo hadi December!!...Ila wewe umeyamaliza kwa busara na hekima...

Ubarikiwe sana!!...Naamini hata Smile atakuja kupata tuition kwako...

Huyu Filipo anayo bahati ya mtende haki ya nani...sijue Mungu ampe nini zaidi..

Sina kingine cha kusema...endeleeni kumtukuza Mungu......Amen!!

CC: Wazee/wakubwa wenzangu wote... Asprin, Kaizer, gfsonwin, snowhite (??), Mtambuzi, PakaJimmy (mwenyekiti), @FP, Nyamayao (???) na wadogo/wajukuu zetu wapendwa.. King'asti, MwanajamiiOne, Arushaone, mwanyisi, KOKUTONA, Arabela, Lily Flower,.........!!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu Dark City nilifundishwa kwamba neno msamaha lina nguvu kubwa sana kwenye ndoa.. Kusema ukweli limetusaidia sana kwenye ndoa yetu....
 
Last edited by a moderator:
Babu Dark City nilifundishwa kwamba neno msamaha lina nguvu kubwa sana kwenye ndoa.. Kusema ukweli limetusaidia sana kwenye ndoa yetu....


Endelea hivyo hivyo na pia wafundeshe watoto wenu ili ujumbe uwafikie wajukuu na vitukuu......

Nadhani hilo neno tungekuwa tunalifanyia annivensary kila mwaka, labda wetu wengi wangekuwa wanalikumbuka....

Labda kwa kukutaarifu tu,...hata Babu yako hajui huyo mdudu anaitwa BAN na mafyongo fyongo yake.....!!

Kwa hiyo unafuata nyayo...labda Filipo akuharibu!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Wote tunafuata nyayo zako Babu.. Hata mume wangu hajawahi kukutana na hayo makitu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…