Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011

Marejesho mpenzi hongera sana. Name nimeenjoy kukutana kwetu. Me love you much ingawa nina mipango ya muda mrefu na Filipo.. Ila nitahakikisha mipango yangu haikuathiri.

mpenzi Arabela mimi pia nakupenda...Tafadhali usiniumize moyo wangu......ukumbuke tu yeye ni mume wangu wa ndoa.....
Embu nidokeze,hiyo mipango ya muda mrefu ni ipi?
 
Last edited by a moderator:

Babu Dark City me like you kwakweli. Hata sikumoja hujawah kutusahau wajukuu zako, na words of wisdom unazotoaga baaasi.

Be blessed babu.
 
mnajifunza kuandika barua???
 
Last edited by a moderator:
watu8 nipe taarifa za starehe pande hizo! Niko Moshi, ntarejea chugga baadaye jioni.

Huku tunaisongesha tu wikiend kaka sema kuna mvua za hapa na pale ndio zinaharibu movements....
 
Last edited by a moderator:
Babu Dark City me like you kwakweli. Hata sikumoja hujawah kutusahau wajukuu zako, na words of wisdom unazotoaga baaasi.

Be blessed babu.

Ahsante sana KOKUTONA,

Kulea ndiyo jukumu la msingi la mzazi. Mtu huwezi kuzaa halafu ukakwepa kulea na ukategemea kuitwa baba au mama. Na kulea ndo hivyo, hakuishii kwa watoto wetu tu, bali na wajukuu, vitukuu na extended relatives.

Karibuni na nyie kwenye chama!
 
Last edited by a moderator:
marejesho;; Hongera zako jamani..........Nimechelewa sana kupitia hapa ila nilikuwa na matumaini ya kupita tu!!!!! Nimefurahi niloposikia ya kwamba haujawahi kukumbwa na janga la BAN.............Wenzako huko tumekuwa sugu na rafiki yangu Mungi;......;........Hongera sana baby na hakika tu pamoja mwanzo mwisho jamaniiiiii..........!!!

Last edited by a moderator:

Ndo tunajongea jongea babu, miaka yenda.

Tuombee tuweze pata karama km ulopewa na mwenyezi Mungu tuweze kulea watoto, wajukuu na vitukuu kwa hekima ya MUNGU.
 
Ndo kusema wewe na Mungi hamna hamu ya kumuiga marejesho na sisi wazee wake ili muachane na BANs?

Babu DC
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…