""Nothing you wear is more important than your smile"":mwaaah::mwaaah::mwaaah:
Japo hujaniuliza mimi, acha niwe na kiherehere kwa kuwa nakupenda sana ladyfurahianaomba marejesho niambie maana ya neno ASAP lina maana gani ati?
Usijali wala usiogope. Upendo wa babu kwa wajukuu ni ule wa kutoka juu. Ule mkuu kuliko wote.....:smile:Nashukuru kwa upendo wako kama ni wa agape naupokea lakini kama ni ule mwingine mmh! asante kwa kunifafanulia kwani mwenzio nimetoka Tanga juzijuzi na ni wakuja leoleo na kuondoka kesho asante my dia bravooooooooooooo Asprin
ladyfurahia naona Babu Asprin ameshatoa ufafanuzi.... Nani kuambia ASAP?naomba marejesho niambie maana ya neno ASAP lina maana gani ati?
Hongera marejesho kwa kufikisha miaka miwili JF, kaza buti safari bado ni ndefu, Mungu akuepushe na maovu yote likiwepo la kwenda "BAN GUEST HOUSE", stay blessed ever.
Mwanyasi umemuacha mke kisa hajui kuunga maji ya kuogea? Si ungemfundisha taratibu kwa kuanza na maji ya kuswakia? Kwa taarifa yako mie Filipo kanikuta sijui vitu lukuki lakini ubunifu na kusaidiana kumenifanya sasa hivi mie Stelingi....... Chezeya mapenzi.......Ha ha ha ha haha.... Namshukuru Filipo kunioa maana ilisaidia watu kujua mimi ni jinsia ya KE.... Ila nadhani kuna wengi walijiuliza huyu mwanaume anaoa mwanaume mwenzake....Vipi tena? Pia na ile avater ya kwanza ya Kinyonga, ilikuwa ngumu kutambua.........
Nilifurahi sana kukuona that day, japo haikuwa siku ya furaha... Nilijua kuna siku nyingine isiyo na jina ningepata nafasi ya kukuona Ukismile kama jina lako, na namshukuru Mungu ilitokea Tanga.............
Huyu Filipo hata sijambana kiviile....Tutamuweka kati achague anataka kwenda wapi maana list nasikia imeongezeka.... Good thing is, sweetlady kajitoa kwenye ligi..
Sasa na wewe, Mwanyasi umemuacha?[/QUOTE Mwanyasi kanikimbia eti sijui kuunga maji ya kuogea na nazi!
Mume wangu wamebadilika sana... Umoja wetu umewafanya waungane kwa kasi na tukicheza, watatupita....... Au tuwatest kwa hili jambo moja?
yani we mpuuzi kweri unawataja wanawake mbona vidume vya humu hujavitaja