Stupidmbona wameweka zege juu hata mtu akifufuka ashundwe kutoka
Kafanya nini?aisee majizo
zamu yake liachwe wazi kabisa ili iwe rahisi kwakekwa hiyo wangewekea kifusi ndio angeweza kutoka!!!
ni hatari sana mkuu! ila haya mambo mengine si ya kuyatafakari sana maana kupitia yeye na anaofanana nao unaweza kumkufuru allah.Huwa naumia sana nikiona mtu mpaka anakufa lakini bado hajasilimu kumrudia Allah S.W.T.
Ndio nani mkuu?Huwa naumia sana nikiona mtu mpaka anakufa lakini bado hajasilimu kumrudia Allah S.W.T.
Tanzania kuna vituko?mbona wameweka zege juu hata mtu akifufuka ashundwe kutoka